Kuna umuhimu gani kubadili signature katika noti

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
2,754
Reaction score
4,975
Tangu noti za dola zibuniwe mwaka 1862, Ni mara chache sana tumesikia zikibadilishwa design au kubadilishwa kwa namna yoyote ile, ila hapa Tanzania noti zimekuwa zikibuniwa, kueditiwa na kubadilishwa mara kwa mara.

Kuna umuhimu gani kuweka signature ya waziri wa fedha ambaye leo yupo kesho anahamishiwa wizara ya michezo? Gharama hizo zote for what? Fedha zinapobadilishwa mara kwa mara zinatoa loophole na nafasi ya wizi na ufisadi.

Fedha zilizobadilishwa zitakuwa kwenye mzunguko na zisizobadilishwa pia zitakuwa kwenye mzunguko.

download (25).jpeg

NUKUU

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt.
@mwigulunchemba1
(Mb) na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko kuanzia tarehe mosi Februari mwaka huu.

Gavana Tutuba amesema hayo wakati akimkabidhi Mhe. Dkt. Nchemba, Noti kifani za shilingi elfu kumi, elfu Tano, Elfu Mbili na Shilingi Elfu moja, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, Jijini Dar es Salaam, kwa mujibu wa Sheria na Taratibu zinazosimamia masuala ya fedha nchini.

“Mheshimiwa Waziri, ninayofuraha kukujulisha kuwa zoezi letu la uchapaji upya wa Noti kwa marejeo ya toleo la mwaka 2010, limekamilika na tayari tumewajulisha wananchi kupitia taarifa niliyoitoa kupitia Gazeti la Serikali” alisema Bw. Tutuba.

Gavana Tutuba alifafanua kuwa Noti hizo zitatumika sambamba na Noti zilizopo hivi sasa, zinamwonekano wa Noti zinazotumika hivi sasa zilizotolewa Mwaka 2010, ikiwemo alama za usalama, ukubwa, rangi na mambo mengine, isipokuwa ina marekebisho kwenye saini ya Waziri wa Fedha, na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania.

“Saini ya aliyekuwa Waziri wa Fedha ambaye hivi sasa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango imebadilishwa na kuwekwa Saini yako Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na Saini ya aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania aliyestaafu, Prof. Florens Luoga, imebadilishwa na kuwekwa Saini ya Gavana wa Benki Kuu wa sasa, Bw. Emmanuel Tutuba” aliongeza Bw. Tutuba.

Akizungumza baada ya kupokea sampuli za Noti hizo mpya, Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, alimshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuruhusu jambo hilo kufanyika na kumpongeza Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, kwa kusimamia mchakato wa uchapaji wa Noti hizo kwa weledi na uadilifu mkubwa.

“Mpaka kufikia hatua hii ni heshima kubwa kwa Taifa letu na inaendeleza heshima ya wataalam wetu mnavyoweza kusimamia kwa umakini mambo yenye maslahi mapana kwa nchi yetu, Pia ilikuwa ndoto yangu sahihi yangu kuwepo kwenye noti, Ninashukuru ndoto yangu imetimia” Alisema Dkt. Nchemba.

Mhe. Dkt. Nchemba aliridhia Noti hizo ziingizwe kwenye mzunguko na kuanza kutumika kama ilivyopangwa tarehe moja Februari mwaka huu.
Gh5Swl7XwAA4lxJ.jpeg
 
Sasa mawaziri wa fedha na magavana si wanabadirika hivyo wakati wa uchapishaji wa noti mpya wanachukua saini za hao waliopo kwa muda huo easy!.
 
Watabadili mara ngapi? Mawaziri wanabadilika kila mara! Dola ya marekani hubadilishwa mara chache sana
 
Tangu noti za dola zibuniwe mwaka 1862, Ni mara chache sana tumesikia zikibadilishwa design au kubadilishwa kwa namna yoyote ile, ila hapa Tanzania noti zimekuwa zikibuniwa, kueditiwa na kubadilishwa mara kwa mara.

Kuna umuhimu gani kuweka signature ya waziri wa fedha ambaye leo yupo kesho anahamishiwa wizara ya michezo? Gharama hizo zote for what? Fedha zinapobadilishwa mara kwa mara zinatoa loophole na nafasi ya wizi na ufisadi.

Fedha zilizobadilishwa zitakuwa kwenye mzunguko na zisizobadilishwa pia zitakuwa kwenye mzunguko.

View attachment 3210427

NUKUU

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt.
@mwigulunchemba1
(Mb) na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko kuanzia tarehe mosi Februari mwaka huu.

Gavana Tutuba amesema hayo wakati akimkabidhi Mhe. Dkt. Nchemba, Noti kifani za shilingi elfu kumi, elfu Tano, Elfu Mbili na Shilingi Elfu moja, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, Jijini Dar es Salaam, kwa mujibu wa Sheria na Taratibu zinazosimamia masuala ya fedha nchini.

“Mheshimiwa Waziri, ninayofuraha kukujulisha kuwa zoezi letu la uchapaji upya wa Noti kwa marejeo ya toleo la mwaka 2010, limekamilika na tayari tumewajulisha wananchi kupitia taarifa niliyoitoa kupitia Gazeti la Serikali” alisema Bw. Tutuba.

Gavana Tutuba alifafanua kuwa Noti hizo zitatumika sambamba na Noti zilizopo hivi sasa, zinamwonekano wa Noti zinazotumika hivi sasa zilizotolewa Mwaka 2010, ikiwemo alama za usalama, ukubwa, rangi na mambo mengine, isipokuwa ina marekebisho kwenye saini ya Waziri wa Fedha, na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania.

“Saini ya aliyekuwa Waziri wa Fedha ambaye hivi sasa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango imebadilishwa na kuwekwa Saini yako Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na Saini ya aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania aliyestaafu, Prof. Florens Luoga, imebadilishwa na kuwekwa Saini ya Gavana wa Benki Kuu wa sasa, Bw. Emmanuel Tutuba” aliongeza Bw. Tutuba.

Akizungumza baada ya kupokea sampuli za Noti hizo mpya, Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, alimshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuruhusu jambo hilo kufanyika na kumpongeza Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, kwa kusimamia mchakato wa uchapaji wa Noti hizo kwa weledi na uadilifu mkubwa.

“Mpaka kufikia hatua hii ni heshima kubwa kwa Taifa letu na inaendeleza heshima ya wataalam wetu mnavyoweza kusimamia kwa umakini mambo yenye maslahi mapana kwa nchi yetu, Pia ilikuwa ndoto yangu sahihi yangu kuwepo kwenye noti, Ninashukuru ndoto yangu imetimia” Alisema Dkt. Nchemba.

Mhe. Dkt. Nchemba aliridhia Noti hizo ziingizwe kwenye mzunguko na kuanza kutumika kama ilivyopangwa tarehe moja Februari mwaka huu.
View attachment 3210431
Kubadilisha Noti za Fedha (Banknotes) kwa nchi nyingi za Magharibi huwa wanafanya pale tu kunapokuwa kuna UMUHIMU au ULAZIMA fulani, lakini katika nchi hizi za dunia ya tatu hasa nchi za Afrika zoezi hilo mara nyingi sana huwa linafanyika kukiwa na sababu za ajenda za Siri nyuma yake, hasahasa ni kwa sababu za wizi mkubwa wa kimtandao na ufisadi. Shuhuda nyingi sana zimethibitisha Ukweli kuhusu suala hili.

Mathalani, nchini Liberia, zabuni ya kuchapisha Noti mpya ilianzishwa wakati fulani hivi ili Watawala wachache walio wezi na Mafisadi wapate nafasi ya kuiba pesa. Makontena manne (4) yaliyobeba Noti mpya zilizochapwa kutoka kiwandani huko Ulaya yaliibwa yakiwa Bandarini katika Mji Mkuu wa nchi hiyo wa Monrovia. Makontena hayo ya Fedha yaliibwa na mpaka leo hajawahi kupatikana
 
Watabadili mara ngapi? Mawaziri wanabadilika kila mara! Dola ya marekani hubadilishwa mara chache sana
Elewa wanapoanza kutoa nyengine kama waziri husika amebadilika na gavana ndo wanafanya hivyo, halafu usinakili kitu kimoja kila nchi na utaratibu wake!.
 
Back
Top Bottom