noti za tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Akamatwa kwa tuhuma za kuharibu fedha halali za Tanzania baada ya kuonekana akizifagia

    Jeshi la Polisi limemkamata Faustine Zakaria, kinyozi kwa tuhuma za kuharibu fedha halali za Tanzania baada ya kuonekana katika picha mjongeo akifagia noti alizokuwa amezitawanya sakafuni pamoja na nywele zilizotokana na shughuli za unyoaji na uchafu mwingine ndani ya saluni yake. Picha mjongeo...
  2. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania BOT iondoe sifuri moja kwenye noti za Tanzania kama walivyfanya Zambia mwaka 2012

    Punguza sifuri moja kwenye noti za Tanzanian kuna athari kadhaa za kifedha na kiuchumi, ambazo ni pamoja na: 1. Kuhifadhi Thamani na Usahihi wa Bei: Kupunguza sifuri moja kwenye noti kunaweza kusaidia kuboresha usahihi wa bei na kupunguza mkanganyiko wakati wa kujumuisha au kuhesabu bei kubwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania BoT yatoa ufafanuzi kuhusu taharuki ya noti za Shilingi 10,000 na 5,000 toleo la 2003

    Benki Kuu ya Tanzania inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu taharuki iliyojitokeza kuhusiana na noti za shilingi 10,000 na 5,000 toleo la 2003 zinazopaswa kuondolewa kwenye mzunguko zinazofananishwa na noti za thamani hiyo toleo la 2010 zinazoendelea kutumika. Zoezi la kubadilisha noti hizo...
  4. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani kubadili signature katika noti

    Tangu noti za dola zibuniwe mwaka 1862, Ni mara chache sana tumesikia zikibadilishwa design au kubadilishwa kwa namna yoyote ile, ila hapa Tanzania noti zimekuwa zikibuniwa, kueditiwa na kubadilishwa mara kwa mara. Kuna umuhimu gani kuweka signature ya waziri wa fedha ambaye leo yupo kesho...
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Historia ya kutumia Pesa za Noti Tanzania

    𝗛𝗶𝘀𝘁𝗼𝗿𝗶𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗣𝗲𝘀𝗮 𝗭𝗮 𝗡𝗼𝘁𝗶 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 Miaka imekwenda toka enzi hizo watu wanatumia shilingi moja, mbili, senti moja nk maisha ya Watanzania yalibadilika baada ya utambulisho wa Noti kwenye Pesa za Nchi. Tanzania🇹🇿 ilianza kutumia shilingi mwaka 1921 ambayo ilikua ya Afrika mashariki...
Back
Top Bottom