Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Rangi nyeupe ikifyonzwa na ukuta then itakua haionekani Tena?Skimming inapunguza matumizi makubwa ya rangi katika kuta, ukipiga rangi moja kwa moja bila kufanya skimming, ile rangi inakuwa inafyozwa na hizo kuta hivyo utatumia rangi nyingi na pia haitokuwa na mvuto ukilinganisha na mtu aliyetanguliza skimming
Kwa mahitaji ya ramani, makadirio au ushauri tuwasiliane +255(zero)624068809
Swali zuriRangi nyeupe ikifyonzwa na ukuta then itakua haionekani Tena?
Kuonekana itaonekana, ila kiasi kikubwa cha rangi kitakuwa kimenyonywa na ukutaRangi nyeupe ikifyonzwa na ukuta then itakua haionekani Tena?
asante mkuu kwa ushauri na ayo mawasilianoSkimming inapunguza matumizi makubwa ya rangi katika kuta, ukipiga rangi moja kwa moja bila kufanya skimming, ile rangi inakuwa inafyozwa na hizo kuta hivyo utatumia rangi nyingi na pia haitokuwa na mvuto ukilinganisha na mtu aliyetanguliza skimming
Kwa mahitaji ya ramani, makadirio au ushauri tuwasiliane +255(zero)624068809
Swali zuri sana nasubir jibu na mm.Gharama za skimming zina save gharama za rangi kwa ASILIMIA ngap ?
Najibu kwa uzoefu tu ila siyo fundi.Rangi nyeupe ikifyonzwa na ukuta then itakua haionekani Tena?