Wakuu habari zenu.Mimi siyo mwanasiasa japo siasa naona inanishindisha giza na kunilaza giza.Ndani ya siku 30 nilizolipitia king'amuzi changu cha AZAM nakadiria kutumia bandle hilo kwa siku 11 tu. Siku zingine umeme hakuna.
Sijui wenzangu mnaiona hiyo hasara wanayonipatia TANESCO