Kuna umuhimu gani wa Mbwana Samata kuparticipate kwenye team ya taifa wakati hachezi?

donald mickhitarian

Senior Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
120
Reaction score
47
Hivi kuna umuhimu gani wa Mbwana Samata kuparticipate kwenye team ya taifa ili aisaidie kufuzu CHAN wakati Hachezi... Hatuoni kwamba itaawafanya wabweteke
 
Kila mchezaji anaumuhimu kwenye team yake ya taifa mkuu
 
Mbwana hachezi mashindano ya CHAN bali AFCON ambayo tunacheza Na Lesotho jumamosi saa 2 usiku uwanja wa Chamazi lakini je Samatta ameshakuja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…