Kuna umuhimu kuwepo Taasisi ya kusimamia NHIF

Kujiunga na kukatwa pesa kwenye mshahara wa mtumishi wa umma kwa ajili ya NHIF ni suala la lazima (mtumishi hana uchaguzi wala uamuzi), lakini linapokuja suala la kupewa huduma, linageuka kuwa suala la vigezo na masharti mazito.
Kwakweli inashangaza sana NHIF wana viburi sana, kuwe na private organizations za Bima ya Afya

Halafu nashangaa kuna baadhi ya huduma za kawaida kabisa hawatoi wanasema haihusiki na Bima

Ukipiga mahesabu vizuri ya hela anayokatwa Mtumishi kila mwezi ni nyingi sana.

Hawa watu wanatupiga sana.
 
Hili Dubwasha la Mwendazake. Mama alitupie jicho pia.
 

 
TAARIFA KWA UMMA
 
Namna bora ya kuismamia ni serikali kuacha kulazimisha taasisi za serikali kujisajiri nao. waruhusu market economy practices. period.
 
Naomba meejesho mtoa mada
Maboresho yalikaa vizuri au hakukaa vizuri?
 
NHIF ni bima ya kipumbavu sana. Hakuna mfuko wowotw hapa duniani unaotoa huduma za kiqumer kama hizi zinazotolewa na NHIF. Wapuuzi sana hawa mbwa.
 
NHIF ni bima ya kipumbavu sana. Hakuna mfuko wowotw hapa duniani unaotoa huduma za kiqumer kama hizi zinazotolewa na NHIF. Wapuuzi sana hawa mbwa.
Umeandika kwa jazba, uchungu na hasira sana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…