Kuna umuhimu mkubwa sana kufanya check up ya mifumo ya umeme na electronics kwenye gari yako

Kuna umuhimu mkubwa sana kufanya check up ya mifumo ya umeme na electronics kwenye gari yako

Kwanza kabisa naomba radhi kwa sababu thread kidogo ni ndefu. Lakini ni muhimu kuisoma kwa sababu inaweza ikaokoa gharama kubwa au hata kuokoa maisha yako.

Sasa tuendelee...
Ungetoa na mawasiliano mzee tukiwa tunakuhitaji ni rahisi kukupata ...somo limekaa pouwa sana mtaalamu
 
ungetoa na mawasiliano mzee tukiwa tunakuhitaji ni rahisi kukupata ...somo limekaa pouwa sana mtaalamu

Okay mkuu. Ni thread hii tu ndio sikuweka mawasiliano. Ila thread zangu zote zilizofuata nmeweka mawasiliano.

Namba yangu ni 0621221606
 
Nakuja Dar kesho mkuu.
Hahaha, Mkuu nilikuuliza uko wapi nikiwa na maana "yawezekana nilikuwa huko ulikokuwa, kabla ya kwenda Dar es Salaam". Lakini sio mbaya, naona wewe uko na hamu ya wa Daslam.😀
 
Hahaha, Mkuu nilikuuliza uko wapi nikiwa na maana "yawezekana nilikuwa huko ulikokuwa, kabla ya kwenda Dar es Salaam". Lakini sio mbaya, naona wewe uko na hamu ya wa Daslam.😀

Nilikuwa Njombe.Lakini hata hivo by the time umeniuliza hilo swali nisingekuwa na msaada wowote.
 
Saa ngapi maana nakuhitaji sana kuna jagari mafundi wanasema kana shida kwenye engen lakini hawasemi ni nini

Nipo Muda wote Mkuu. Kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa moja jioni. Unaweza kunicheck kwa 0621221606.
 
Back
Top Bottom