Kuna umuhimu wa kuwa na maelekezo ya uvaaji katika vyuo?

Kuna umuhimu wa kuwa na maelekezo ya uvaaji katika vyuo?

MAULA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,056
Reaction score
170
Tumeshuhudia vijana wengi wanavyo vaa humu vyuoni yaani wanawake na wanume mf milegezo(suruali chini ya makalio) kwa wanaume na kwa wanzetu wadada ni sketi za juu ya magoti na brauzi za maziwa wazi.

Kuna haja sasa ya vyuo kuweza shelia au kubainisha mavazi ya kuvaliwa humo ma vyuoni?!!! au ni RKSA JIACHIE UTAKAVYO.

NAKARIBISHA:-


attachment.php
 

Attachments

  • mlege.jpeg
    mlege.jpeg
    4.9 KB · Views: 913
SAUT
UDOM
TIA
ni vyuo ambavyo najua vina hizo sheria za mavazi
 
labda kwa vyuo MBUZI...vyuo vinavyojitambua haviwezi kuwa na hivo vitu
 
Watu hawajithamini, hawathamini miiki yao, wanaona wako sawa kwa kila watendacho. Ngumu kumbadili mtu kama fikra zake ziko tofauti na uonavyo
 
Acheniiiiiii ushamba wenuuuuuu mwelekeze ndugu yako co na huku mnielekeze kuvaaa akiti kitaaaa hamna sheria hiyo mwana chuo muda anao kuwepo chuo ni mchache kuliko kitaaaa so achen yy ajue kwan kuvaaaaa nguo ndefu au fupi kuna punguza au kuongeza GPA hahahahahahaha acheni hizo ana vaa nguo vibaya anapiga GPA ya maana hata ajira pia ana ajiriwa mapemaaaaaaa so acha ajiachie atakavyoooo sheria za uvaaji kwenu kwa watoto wakooooooo na ngugu zakooo huku kaaa kimya fanya yanayo kuhusuuuuu......
 
Back
Top Bottom