MAULA
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,056
- 170
Tumeshuhudia vijana wengi wanavyo vaa humu vyuoni yaani wanawake na wanume mf milegezo(suruali chini ya makalio) kwa wanaume na kwa wanzetu wadada ni sketi za juu ya magoti na brauzi za maziwa wazi.
Kuna haja sasa ya vyuo kuweza shelia au kubainisha mavazi ya kuvaliwa humo ma vyuoni?!!! au ni RKSA JIACHIE UTAKAVYO.
NAKARIBISHA:-
Kuna haja sasa ya vyuo kuweza shelia au kubainisha mavazi ya kuvaliwa humo ma vyuoni?!!! au ni RKSA JIACHIE UTAKAVYO.
NAKARIBISHA:-