Tumeshuhudia vijana wengi wanavyo vaa humu vyuoni yaani wanawake na wanume mf milegezo(suruali chini ya makalio) kwa wanaume na kwa wanzetu wadada ni sketi za juu ya magoti na brauzi za maziwa wazi.
Kuna haja sasa ya vyuo kuweza shelia au kubainisha mavazi ya kuvaliwa humo ma vyuoni?!!! au ni RKSA JIACHIE UTAKAVYO.
Acheniiiiiii ushamba wenuuuuuu mwelekeze ndugu yako co na huku mnielekeze kuvaaa akiti kitaaaa hamna sheria hiyo mwana chuo muda anao kuwepo chuo ni mchache kuliko kitaaaa so achen yy ajue kwan kuvaaaaa nguo ndefu au fupi kuna punguza au kuongeza GPA hahahahahahaha acheni hizo ana vaa nguo vibaya anapiga GPA ya maana hata ajira pia ana ajiriwa mapemaaaaaaa so acha ajiachie atakavyoooo sheria za uvaaji kwenu kwa watoto wakooooooo na ngugu zakooo huku kaaa kimya fanya yanayo kuhusuuuuu......