Kuna umuhimu wa kuwa na vyoo kwa kila Chumba!

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
7,755
Reaction score
11,737
Habari za mchana wanajf,

Katika pitapita yangu asubuhi nikiwa nafanya mazoezi, nimegundua watu wengine wenye vyoo vya nje, huingia na chupa kubwa za maji tupu, ndio mdogo, mabeseni nk ili usiku wakiwa wamelala wakibanwa na haja mdogo wasitoke nje kwenda vyooni. Haja zao humaliza kwenye ndio, mabeseni, chupa za maji tupu. Halafu asubuhi wanawahi kumwaga kwenye vyoo vya nje.

Mainjinia changamkieni tenda hizo.
 
Duh, yaani daaaah: mi nikionaga neno utafiti nnajiandaaaga kusoma makala moja ya kina sana kuhusu hicho kitu. Itaeleza tulipotoka tulipo na tuendapo kwa undani wa hali ya juu.

Itoshe tu kusema nimesikitishwa sana kwa kunyanyua dumu hili kwa nguvu nikidhania lina maji kumbe ni tupu.

Me to Uhakika Bro: Pole sana bro
Uhakika Bro: Ahsante bro😪
 
Poapoa!
 
Habari za mchana wanajf,

Katika pitapita yangu asubuhi nikiwa nafanya mazoezi, nimegundua watu wengine wenye vyoo vya nje, huingia na chupa kubwa za maji tupu, ndio mdogo, mabeseni nk ili usiku wakiwa wamelala wakibanwa na haja mdogo wasitoke nje kwenda vyooni. Haja zao humaliza kwenye ndio, mabeseni, chupa za maji tupu. Halafu asubuhi wanawahi kumwaga kwenye vyoo vya nje.

Mainjinia changamkieni tenda hizo.
Upumbavu ni KIPAJI
 
Kwahio unafikiri uwezo wanao ila wanapenda tu kulala na chupa za mikojo? Au unafikiri hakuna nyumba/vyumba vyenye vyoo ndani.
Bajeti yao ndio imefanya waishi nyumba ya aina hio.
 
Si

SiO maji tu.kuna harufu sanaaaa.kila chumba chenye choo nilivyowahi kuingia kwa shughuli za ufundi nimeliona hilo .mpaka najiuliza anaishi vipi huyu mtu akiwa na choo ndani.?yaaninunakula hapa choo hiko hapo.hapanaa.uzungu huo unipite tu
Harufu inatokana na usafi hafifu.
Vyoo kiwe cha ndani au cha nje kinahitaji usafi.
Hasa wanaume mnahitaji usafi sana maana mikojo yenu inanuka kibeberu beberu.
Unatakiwa ufanye usafi asubuhi na usiku.
Halafu chooni kufanya usafi simple sana ule mda wa kupiga mswaki au kuoga ndo mda wa kufanya usafi dakika kadhaa huwezi kusikia harufu.
Kuna watu wana vyoo vya nje vichafu mpaka vimeota mlenda mlenda kama tiles zimeganda na kuwa za brown.
Kuna nyumba hapahapa mjini daslam na wana uwezo tu ila vyoo vyao vilinishinda kutumia.
Mtu unajiuliza maji yapo sabuni mpaka 1000 za kusafishia vyoo inakuwaje choo kinakuwa hivyo?
Vyoo vyote vinahitaji usafi
 
Harufu inatokana na usafi hafifu.
Vyoo kiwe cha ndani au cha nje kinahitaji usafi.
Hasa wanaume mnahitaji usafi sana maana mikojo yenu inanuka kibeberu beberu.
Unatakiwa ufanye usafi asubuhi na usiku.
Halafu chooni kufanya usafi simple sana ule mda wa kypiga mswaki au kuoga ndo mda wa kufanya usafi dakika kadhaa huwezi kusikia harufu.
Kuna watu wana vyio vya nje vichafu mpaka vimeota mlenda mlenda kama tiles zimeganda na kuwa za brown.
Kweli choo ni usafi,hata nguo kama hufui huwa zinanuka!
 
duuh unaingia na bobo ndani na ule usiku wa saa nae hua una utulivu fulani ivi,,

Basi ile dororororororororororo hua inaskika nyumba nzima hadi aibu
Unalenga kidizaini!
 
Back
Top Bottom