Kuna umuhimu wa kuwa na vyoo kwa kila Chumba!

Kuna umuhimu wa kuwa na vyoo kwa kila Chumba!

Na siyo choo tu kunuka.
Wengine mpaka nyumba inanuka.
Sebule inanuka.
Mtu ana nyumba kubwa tu unashangaa inanuka uvundo.
Usafi muhimu mkuu!utamkuta mavyombo yanawiki hawajaosha,wameweka maji!Lazima nyumba inuke.
 
Na siyo choo tu kunuka.
Wengine mpaka nyumba inanuka.
Sebule inanuka.
Mtu ana nyumba kubwa tu unashangaa inanuka uvundo.
Unakuta sofa azisafishwi Kwa zile baking soda na sabuni maalumu, pazia Zina miezi 6 azijabadilishwa kapeti alisafishwi lazima uikimbie sebule + madilisha
 
Habari za mchana wanajf,

Katika pitapita yangu asubuhi nikiwa nafanya mazoezi, nimegundua watu wengine wenye vyoo vya nje, huingia na chupa kubwa za maji tupu, ndio mdogo, mabeseni nk ili usiku wakiwa wamelala wakibanwa na haja mdogo wasitoke nje kwenda vyooni. Haja zao humaliza kwenye ndio, mabeseni, chupa za maji tupu. Halafu asubuhi wanawahi kumwaga kwenye vyoo vya nje.

Mainjinia changamkieni tenda hizo.
Tangazo: TUNATENGENEZA VITANDA VYENYE VYOO VYA KUKAA AU KUCHUTAMA, BEI KULINGANA NA UNENE WAKO.
 
Back
Top Bottom