Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Kuwashauri wenye nyumba kujenga master room!tuchangamkie kivipi sasa
Poapoa!Duh, yaani daaaah: mi nikionaga neno utafiti nnajiandaaaga kusoma makala moja ya kina sana kuhusu hicho kitu. Itaeleza tulipotoka tulipo na tuendapo kwa undani wa hali ya juu.
Itoshe tu kusema nimesikitishwa sana kwa kunyanyua dumu hili kwa nguvu nikidhania lina maji kumbe ni tupu.
Me to Uhakika Bro: Pole sana bro
Uhakika Bro: Ahsante bro😪
Upumbavu ni KIPAJIHabari za mchana wanajf,
Katika pitapita yangu asubuhi nikiwa nafanya mazoezi, nimegundua watu wengine wenye vyoo vya nje, huingia na chupa kubwa za maji tupu, ndio mdogo, mabeseni nk ili usiku wakiwa wamelala wakibanwa na haja mdogo wasitoke nje kwenda vyooni. Haja zao humaliza kwenye ndio, mabeseni, chupa za maji tupu. Halafu asubuhi wanawahi kumwaga kwenye vyoo vya nje.
Mainjinia changamkieni tenda hizo.
Kinakuwaje kipaji upumbavu!Upumbavu ni KIPAJI
Kwahio unafikiri uwezo wanao ila wanapenda tu kulala na chupa za mikojo? Au unafikiri hakuna nyumba/vyumba vyenye vyoo ndani.Habari za mchana wanajf,
Katika pitapita yangu asubuhi nikiwa nafanya mazoezi, nimegundua watu wengine wenye vyoo vya nje, huingia na chupa kubwa za maji tupu, ndio mdogo, mabeseni nk ili usiku wakiwa wamelala wakibanwa na haja mdogo wasitoke nje kwenda vyooni. Haja zao humaliza kwenye ndio, mabeseni, chupa za maji tupu. Halafu asubuhi wanawahi kumwaga kwenye vyoo vya nje.
Mainjinia changamkieni tenda hizo.
Sawa mkuu.Kwahio unafikiri uwezo wanao ila wanapenda tu kulala na chupa za mikojo? Au unafikiri hakuna nyumba/vyumba vyenye vyoo ndani.
Bajeti yao ndio imefanya waishi nyumba ya aina hio.
Sawa mkuuVyoo vya ndani mimi naona kinyaa. Bora vya nje.iwa kuna kitu kibaya uwa nahisi sana.
Mwaga maji mengiMi nimejenga kijumba chumba changu master,but nililzimika kuziba hicho choo na cement ratio kalii maana ulikuwa kero usiku
SiO maji tu.kuna harufu sanaaaa.kila chumba chenye choo nilivyowahi kuingia kwa shughuli za ufundi nimeliona hilo .mpaka najiuliza anaishi vipi huyu mtu akiwa na choo ndani.?yaaninunakula hapa choo hiko hapo.hapanaa.uzungu huo unipite tuMwaga maji mengi
Harufu inatokana na usafi hafifu.Si
SiO maji tu.kuna harufu sanaaaa.kila chumba chenye choo nilivyowahi kuingia kwa shughuli za ufundi nimeliona hilo .mpaka najiuliza anaishi vipi huyu mtu akiwa na choo ndani.?yaaninunakula hapa choo hiko hapo.hapanaa.uzungu huo unipite tu
Kweli choo ni usafi,hata nguo kama hufui huwa zinanuka!Harufu inatokana na usafi hafifu.
Vyoo kiwe cha ndani au cha nje kinahitaji usafi.
Hasa wanaume mnahitaji usafi sana maana mikojo yenu inanuka kibeberu beberu.
Unatakiwa ufanye usafi asubuhi na usiku.
Halafu chooni kufanya usafi simple sana ule mda wa kypiga mswaki au kuoga ndo mda wa kufanya usafi dakika kadhaa huwezi kusikia harufu.
Kuna watu wana vyio vya nje vichafu mpaka vimeota mlenda mlenda kama tiles zimeganda na kuwa za brown.
Unalenga kidizaini!duuh unaingia na bobo ndani na ule usiku wa saa nae hua una utulivu fulani ivi,,
Basi ile dororororororororororo hua inaskika nyumba nzima hadi aibu
Na siyo choo tu kunuka.Kweli choo ni usafi,hata nguo kama hufui huwa zinanuka!