Kuna umuhimu wa kuwa na vyoo kwa kila Chumba!

Na siyo choo tu kunuka.
Wengine mpaka nyumba inanuka.
Sebule inanuka.
Mtu ana nyumba kubwa tu unashangaa inanuka uvundo.
Usafi muhimu mkuu!utamkuta mavyombo yanawiki hawajaosha,wameweka maji!Lazima nyumba inuke.
 
Si

SiO maji tu.kuna harufu sanaaaa.kila chumba chenye choo nilivyowahi kuingia kwa shughuli za ufundi nimeliona hilo .mpaka najiuliza anaishi vipi huyu mtu akiwa na choo ndani.?yaaninunakula hapa choo hiko hapo.hapanaa.uzungu huo unipite tu
Itakuwa vyoo vyako vina changamoto ya kuludisha harufu ndani
 
Na siyo choo tu kunuka.
Wengine mpaka nyumba inanuka.
Sebule inanuka.
Mtu ana nyumba kubwa tu unashangaa inanuka uvundo.
Unakuta sofa azisafishwi Kwa zile baking soda na sabuni maalumu, pazia Zina miezi 6 azijabadilishwa kapeti alisafishwi lazima uikimbie sebule + madilisha
 
Upuuzi. Inachukua muda gani mtu kunyanyuka kwenda chooni? Huo ni uchafu na uvivu tu.
 
Tangazo: TUNATENGENEZA VITANDA VYENYE VYOO VYA KUKAA AU KUCHUTAMA, BEI KULINGANA NA UNENE WAKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…