Uvivu wa kufikiria na kupekua pekua kufanya upembuzi yakinifuVijana mbona mnarudia rudia nyuzi shida nn
Anayeuliza Hilo swali Ni taahira!Idadi ya watu ulio lala nao
Sio swali zuri kweli linamfanya mtu kuwa uncomfortable vile unavyojisikia ndio wanaume tunavyojisikia msichana kukuliza kama una gari, kama unalo ni aina gani 😁😁Anayeuliza Hilo swali Ni taahira!
Msichana akikuuliza hivyo mchukulie Ni mgonjwa WA Akili!Sio swali zuri kweli linamfanya mtu kuwa uncomfortable vile unavyojisikia ndio wanaume tunavyojisikia msichana kukuliza kama una gari, kama unalo ni aina gani 😁😁
Kichwani wana mavi tuuUvivu wa kufikiria na kupekua pekua kufanya upembuzi yakinifu
![]()
Sababu Tano unapaswa kujua body count ya Mpenzi Wako.
Katika jamii ya kisasa, masuala ya afya ya ngono yamekuwa yakiangaziwa zaidi, na watu wanapaswa kuwa na uelewa wa kina kuhusu jinsi ya kulinda afya zao na kufanya maamuzi bora kuhusu washirika wao wa kimapenzi. Moja ya maswali ambayo mara nyingi hujengwa katika midahalo ya kimapenzi ni “Je...www.jamiiforums.com