MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
WofS,
Hiyo statement aliyotoa ndiyo iliyonipa nguvu ya kufanya listing! I'm on my middle 40s and there is no way kuwa sijakutana na score ya wasichana during my "boyhood". Kwa hiyo tulivyo funga pingu - 14 years ago, I thought we were starting a New Life (in Kyerefaso) and hakukuwa na haja ya kuongelea past/present experience no matter umekasirika kiasi gani!
Alimwaga Mboga na Mimi nikwamwaga Ugali!
Imagine if this was your husband, anakwambia "...kwani wanawake nimeona wangapi..." ungefanya nini Wofs?
B_E
Ningejikaza kisabuni..halafu ningemjibu.." uliona wengi baba, lakini hapa kwangu ndo breki yako..mwisho wa njia! "
Ila uongo si kazi..ningeumia sana rohoni na ningemchukia sana!
Ndiyo maana yake!Na mimi nilimjibu hivyo hivyo but in a very outrageous way! hiyo text nyekundu hapo juu replace neno baba na neno mama!
Je!kuna umuhimu wowote kwa wachumba,au wapenzi kuelezana historia zao za kimapenzi za kipindi cha nyuma kabla hawajakutana?kwa mfano labda Belinda umepata mpenzi mpya,kuna umuhimu wa kumwambia ulishawahi kuwa na wanaume 16 tangu kuzaliwa,au mwanaume kukuambia alishawahi kuwa na wanawake 60 tangu kuzaliwa.Je!kuna umuhimu wa kuelezana hizo historia zenu za nyuma?na kama zipo experience inaonesha uongo unatawala mno,hakuna mwanamke aliye tayari kumwambia mpenzi wake alishawahi kuwa na mahusiano na wanaume 22 mpaka walipokutana,na wanaume vivyo hivyo.Je kuna umuhimu wa kujua historia ya mapenzi ya mwandani wako?
Vipi asa hali imetulia au unataka usaidizi?Asanteni kwa hii mada maana naona imelenga kwangu kabisaaaaaa...hivi unajua haya mambo huwa hivi hivi kimchezo chezo tuu. Kama mimi kuna siku tulikuwa na fight na mr. khs maswala ya unyumba hanilidhishi na fwezaaa. Kwanza nikamuliza vp khs something mbona cku hizi imekuwa hadimu na mimi nahiitaji! mweee, nililoambiwa kama nimeona hanilidhishi nikatafute wakunilidhisha, yeye anaona kama hawezi...mbona palikuwa hapakaliki. Kwa mahasila niliyokuwa nayo nikamwambia cjawahiiii toka nianze kutembea na wanume (yani nikamwambia talehe na mwaka nilioanza kujua wanaoume) ckuwahi kusikia hilo tamko. Nyie acheni kabisa na haya maswala yanaletaga matatizo hivi hivi.
Vipi asa hali imetulia au unataka usaidizi?
Hajatulia wala nini, nimefata ushauri wake, kwa hiyo najivijali kama kawa.
Sasa mkeo akuambie mtu kama Masanilo alikuwa bf wake zamani si utapigana.....utajua tIGO ilishaliwa imeshaliwa
Hajatulia wala nini, nimefata ushauri wake, kwa hiyo najivijali kama kawa.
Je!kuna umuhimu wowote kwa wachumba,au wapenzi kuelezana historia zao za kimapenzi za kipindi cha nyuma kabla hawajakutana?kwa mfano labda Belinda umepata mpenzi mpya,kuna umuhimu wa kumwambia ulishawahi kuwa na wanaume 16 tangu kuzaliwa,au mwanaume kukuambia alishawahi kuwa na wanawake 60 tangu kuzaliwa.Je!kuna umuhimu wa kuelezana hizo historia zenu za nyuma?na kama zipo experience inaonesha uongo unatawala mno,hakuna mwanamke aliye tayari kumwambia mpenzi wake alishawahi kuwa na mahusiano na wanaume 22 mpaka walipokutana,na wanaume vivyo hivyo.Je kuna umuhimu wa kujua historia ya mapenzi ya mwandani wako?
Ili historia hiyo iwe na manufaa kwako ni vema ukaifahamu (kwa kuelezwa na yeye mwenyewe au kuipata kwa njia nyinginezo) kabla hamjaamua kuoana. Kama alikuwa na mahusianao jaribu kupata ukweli ni kwa nini mahusiano hayo yalivunjika. Historia hiyo itakusaidia kumfahamu vizuri zaidi mchumba wako.Historia inaweza kutoa mwanga kuhusu tabia za mwenza wako na kukusaidia kufanya maamuzi iwapo ni mtu sahihi kuwa nae katika maisha yako kama rafiki na mwenza.
Nadhani ni hatari kujaribu kuipata historia ya mwenza wako wakati mmeshaoana tayari. Katika wakati huu historia (kama ni mbaya) itaongeza tensions badala ya kuisaidia ndoa yenu.
Cha muhimu zaidi kujua ni kwamba binaadamu tunabadilika (we are dynamic) na hivyo si vema kumuhukumu mtu kwa historia yake pekee ni lazima uzingatie ukweli uliopo sasa. Kwa mfano, kama ukiangalia historia ya mtu wakati akiwa 'teenager' na kufikiri bado ana tabia hizo wakati akiwa in his/her 30's utakuwa humtendei haki.
.........................
Wazo mbadala:
Nafahamu tunapoenda kuomba kazi waajiri mara nyingi wanazingatia uzoefu, umri, uwezo na maarifa mengine ya mtu anayeomba kazi. Sasa katika mapenzi, si vizuri pia kumpata mtu mwenye uzoefu🙂?[/QUOTE]
heshima yako mkubwa! hayo ya juu nakuunga mkono 100 kwa 99, lakini hili la chini mmhhn!!kwenye kazi sawa uzoefu sawa, kwa hili labda ungefananisha na gari...je wewe ungependa kununua gari chakavu kwa kuwa lina uzoefu wa kutembea miaka mingi na kwa muda mrefu? ile kitu nakuwa na raha unapojisi kuwa mmiliki pekee bana! japokuwa mara nyingi sio kweli, hizi presha na mashinikizo siku hizi vimezidi kutokana na kutaka kuvumbua vilivyofichika kama hivi na mawivu yasokuwa na maana! muhimu ni kutotaka kuyachunguza yaliyopita...
what if ukimwambia " kwani na wewe unawatongozaga akina nani?" atajibu
nini?
ni bora ukimjibu." hakuna mtu ananifuataga" utasikia " haiwezekani, unanificha tu..... plsss niambie basi nijue tu wala sifanyi kitu!"