kwa mtazamo wangu kuna umuhimu ila hakuna ulazima kama hauna sana uwezo .. laptop ina msaada kama kutakuwa na masomo ambayo yatakuwa yanatolewa kwa mtindo wa soft copy (power point), kama mtaitajika kuandaa presentations,kutafuta notisi na material mengine ya kujisomea kwenye internet vilevile unaweza ukaitumia kama kifaa cha burudani kusikiliza miziki na kuwasilana na marafiki..kupitia mtandao
ni hayo tu kwa leo..