kuna umuhimu?????

kuna umuhimu?????

nguzo87

Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
29
Reaction score
0
laptop nilazma kuwa nayo .....
naenda kusoma diploma ya nursing!! nahitaji ushauri plz????
 
laptop nilazma kuwa nayo .....
naenda kusoma diploma ya nursing!! nahitaji ushauri plz????

kwa mtazamo wangu kuna umuhimu ila hakuna ulazima kama hauna sana uwezo .. laptop ina msaada kama kutakuwa na masomo ambayo yatakuwa yanatolewa kwa mtindo wa soft copy (power point), kama mtaitajika kuandaa presentations,kutafuta notisi na material mengine ya kujisomea kwenye internet vilevile unaweza ukaitumia kama kifaa cha burudani kusikiliza miziki na kuwasilana na marafiki..kupitia mtandao
ni hayo tu kwa leo..
 
nyie wa diploma laptop wap na wap bhana mbona mbwembwe xna hebu katafute gpa kali ndo ufikirie ku2mia laptop pumbaf
 
Back
Top Bottom