Zanzibar ni nafuu katika manunuzi wa bidhaa za electronic kwa ujumla wake.
Changamoto kubwa kwenye kusafirisha yani unaweza ukachukua Tv Zanzibar kuja bara ukatozwa pesa ambayo inafanana na anayesafirisha bidhaa nyingi mf. Tv, redio,deki, nk
Kwa kwenda kununua kitu kwa ajili ya matumizi ya nyumbani hakufai inagharimu sana, kama kibiashara kunafaa sana vitu vyake vina ubora niwaminifu hamna uchakachuaji sana.
Malipo usafiri ndio yanajumuisha na kodi zingine hapo hapo.
Kwa hayo machache ndio ninayojua uende kuna mabadiliko siku hizi.