kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
Poleni na mihangaiko ya siku nzima ya leo.
Kuna bidhaa nimeziona kwenye mitandao zainauzwa Zanzibar na watu wa bara wanaziagiza. Tafadhali naomba kujua kama kuna mtu anajua unafuu wa bidhaa za kutoka Zanzibar, mtu akiifuta huko na kuisafirisha kuja bara.
Je, gharama zake zinakuwaje hususani fridge? Kwa huku bara kuna fridge zinauzwa kwa bei ya Tshs 2,200,000/= je kwa kule Zanziabar ni bei gani?
Vipi kuhusu gharama za usafiri na ushuru. Aidha, kama kuna mtu ana jamaa yake pale Unguja naomba aniunganishe nae tafadhali.
Shukrani na asanteni sana