RENDE MICHAEL
New Member
- Jan 1, 2021
- 3
- 1
Tunaposema kuwa deni linaongezeka kwa shilingi elfu moja kila siku na hapo hapo tunaambiwa kuwa uchumi unaongezeka je kuna unasaba gani kati kukua kiuchumi ilhali deni laongezeka? Na je ili tuseme uchumi umekuwa nini vielelezo muhimu vinavyoashiria ukuaji wa uchumi na vyapaswa viwe katika asilimia gani ya utendaji wake?