Haukinai?umeuliza kitu ambacho kipo wazi sana. kwetu nazi ni kiungo cha heshima sana.
nikienda kumtembelea bi mkubwa, nikikaa siku 3 anaweza tumia nazi hata 10 kuanzia mboga mpaka wali wenyewe.
mambo hayo yanapatikana sana pwani especially Tanga.
nachokaje kwa mfano? nazi zimetulea na zikatukuza mpaka tumefika hapa tulipo.Haukinai?
Haujapata mpishi mzuri wewe. Karibu nyumbani ujionee maajabu ya nazi.Naskiaga tu wanasifia sana lkn mi nikila naona wali wa kawaida japo kwenye harage pana utofauti flani
Njoo nipikieHaujapata mpishi mzuri wewe. Karibu nyumbani ujionee maajabu ya nazi.
Wewe ndio uje huku nikupikie. Maana wewe sijui hata kama jiko la mkaa unalo au kibao cha kukuna nazi.Njoo nipikie
Kibao hicho hamna!Wewe ndio uje huku nikupikie. Maana wewe sijui hata kama jiko la mkaa unalo au kibao cha kukuna nazi.
Basi kesho nitakuja. Nitabeba kibao changuKibao hicho hamna!
Vingine vyote vipo...Kuna mda hua napika
Usisahau Ile feni yako🤣🤣Basi kesho nitakuja. Nitabeba kibao changu
Aaahh nimeghairi sasa. Maana nimeshaona dalili ya uzi wa kimasihara kupata content mpya. Sasa feni ya nini😂Usisahau Ile feni yako🤣🤣
Si umesema huwezi toka bila Ile feni yako ya kininja, sasa nazi tunaweza nunua ambayo ipo tayar Kwa matumizi usibebe kibao beba feni🤣Aaahh nimeghairi sasa. Maana nimeshaona dalili ya uzi wa kimasihara kupata content mpya. Sasa feni ya nini😂
alikua wa kiswahili?Niliwahi pika kuku wa nazi hahahaa let me tell you maina....
Kienyeji pure .alikua wa kiswahili?
huyo ukitaka kumfaidi asubuhi unaanza na supu yake, unatengeneza na chapati kadhaa.Kienyeji pure .