Kuna uraibu wa vyakula vya nazi? Chakula cha nazi ni bora sana tofauti na kisicho na nazi?

Nazi ni tamu ila Kuna wataalamu wanasema inapelekea magonjwa ya moyo na presha, pengine kwa sababu ya kuwa na mafuta mengi. Wenye utaalamu watufafanulie zaidi tafadhali.
 
Hatari sana hapo kwenye majani ya kunde alafu ukute samaki kaungwa Nazi achilia maharage yaungwe Nazi alafu yalale😀😀
Umefanya njaa ianze kuniuma asubuhi yote hii 😋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…