DOKEZO Kuna usafirishaji wa Mabinti wadogo kwenye Mabasi kuja Dar es salaam ili watumikishwe kwa kazi za ndani. Serikali ilitazame hili

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwani hii imeanza leo na jana, mbona iko miaka mingi tu?

Hivi wafanyakazi wa nyumbani walioko mijini miaka nenda rudi si wanatokea vijijini? Madamu hakuna ajira kwa vijana hii itaendelea tu.
Ni Kweli, lkn kama Taifa kufikiria ustawi wa wananchi wake ndo kipaumbele cha kwanza.

Ndo maana serikali imekuja na wazo la kuondoa boarding school kwa chekechea mpaka darasa la 5, yote ni katika kutekeleza Ulinzi wa mtoto.

Ulinzi wa mtoto wa kijijini kuletwa jijini kufanywa YAYA ni jukumu la nani? Au tuko kwenye mataifa 2 tofauti,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…