lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
- Thread starter
- #21
Ni Kweli, lkn kama Taifa kufikiria ustawi wa wananchi wake ndo kipaumbele cha kwanza.Kwani hii imeanza leo na jana, mbona iko miaka mingi tu?
Hivi wafanyakazi wa nyumbani walioko mijini miaka nenda rudi si wanatokea vijijini? Madamu hakuna ajira kwa vijana hii itaendelea tu.
Ndo maana serikali imekuja na wazo la kuondoa boarding school kwa chekechea mpaka darasa la 5, yote ni katika kutekeleza Ulinzi wa mtoto.
Ulinzi wa mtoto wa kijijini kuletwa jijini kufanywa YAYA ni jukumu la nani? Au tuko kwenye mataifa 2 tofauti,