Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 3,394
- 13,476
Jana niliona carrier ya ngazi mbili imebeba magari ya bei mbaya sana zikiwemi G wagon mpya mbili.
Leo hii tena nimeona carrier kama ile ile ya jana nayo ina magari bei mbaya sana ikiwemo range za 2024.
Nilikua kwenye mkokoteni wangu sikuweza kupiga picha vizuri ila yote yamenipita nikiwa maeneo ya Chalinze.
Je ni ya nani na yanapelekwa wapi?
By the way, ukwasi upo ndugu zanguni