Loimata
JF-Expert Member
- Dec 1, 2022
- 749
- 1,741
HERI YA MWAKA MPYA.
Ndugu zangu wataalam wa kilimo,hivi kuna utaalamu wowote unaweza kufanywa kwenye mti ili mti usizae matunda?
Nauliza hivi kwa sababu kuna sehemu nimepanda miti ni mizuri ila tatizo lake inazaa vitunda vidogo vyekundu ambavyo vinapendwa na popo na popo hao wakishakula hivyo vitunda wanajisaidia ukutani.
Majengo ya hilo eneo yamepakwa rangi hata mwezi haujaisha lakini ukiona popo walivyochafua hutaamini.
Ushauri wa dawa ya kuwaua popo hautanisaidia sbb as long as miti itaendelea kuzaa watarudi tu.
Kitakachosaidia ni kama kuna kitu tutafanya miti isizae hivyo vimatunda tu.
Natanguliza shukrani