Kuna utaratibu wa kufanya ukaguzi wa hali ya majengo marefu, walau kwa kila mwaka?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Najiuliza kama kuna utaratibu huo kwa upande wa mamlaka za uhandisi nchini, kukagua majengo na kutoa certificate za ubora.
 
Serikali yako iko bize na wizi tu. Hii kero ililetwa hapa tangu mwezi wa tano lakini walipita kama hawajaiona
 
Iwe bhojo!
 
nadhani mamlaka zina kawaida ya kupuuza baadhi ya taarifa hususan zile ambazo zinazotaka ufuatiliaji na uwajibikaji wa haja.
 
Najiuliza kama kuna utaratibu huo kwa upande wa mamlaka za uhandisi nchini, kukagua majengo na kutoa certificate za ubora.
Etii nasikia wamiliki hawashikiki hukoo wanapotea wakitafutwa kuhusu ubora wa majengo yao
 
Back
Top Bottom