Kuna utofauti gani kati ya BAC na BAF?

Domalizer

Member
Joined
Jul 26, 2023
Posts
5
Reaction score
3
Kuna utofauti gani kati ya kozi ya BAC na BAF na hipi ni better zaidi?
 
Moja ni kichina nyingine ni kifaransa.
Hizo ni degree programs
 
Mkuu kila moja ina fursa za aina yake ko ni kujitafakari kama kweli una mpango wa kusoma mojawapo kati ya hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…