wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Shetani wanayempiga ndio huo ukuta wanaorushia mawe ama sakafu wanayoichapa ?Lengo lao wote ni moja.
Mmoja kupiga hela mwingine kumpiga shetani.
Chagua upande.
sakafu na ukutu ndo shetani mwenyewe.Shetani wanayempiga ndio huo ukuta wanaorushia mawe ama sakafu wanayoichapa ?
Usikwepe swali kwa kuanzisha mada zingineRoman empire
Roman Catholic church
Ikazaa makanisa yafuatayo
1) Lutheran church Germany
2) Anglican church England
3) Wasabato Marekani
4) walokole Marekani
Madhehebu yote ya ukristo baba Yao ni Roman Catholic church a.k.a 666
Cha kushangaza mnaandika Uzi na kuwashangaa wagalatia wenzenu wa kilokole wakati baba yenu ni mmoja
Anayebisha aweke ushahidi hapa ni nani aliyewambia wakristo kuwa Jumapili ndio siku ya ibada kama sio Roman Catholic
shetan anaonekana??Lengo lao wote ni moja.
Mmoja kupiga hela mwingine kumpiga shetani.
Chagua upande.
shetani unaweza kumpiga mawe???Roman empire
Roman Catholic church
Ikazaa makanisa yafuatayo
1) Lutheran church Germany
2) Anglican church England
3) Wasabato Marekani
4) walokole Marekani
Madhehebu yote ya ukristo baba Yao ni Roman Catholic church a.k.a 666
Cha kushangaza mnaandika Uzi na kuwashangaa wagalatia wenzenu wa kilokole wakati baba yenu ni mmoja
Anayebisha aweke ushahidi hapa ni nani aliyewambia wakristo kuwa Jumapili ndio siku ya ibada kama sio Roman Catholic
Anayerushiwa mawe hapo ndo shetanishetan anaonekana??
Ni wapi biblia imetaja Jumamosi?Anayebisha aweke ushahidi hapa ni nani aliyewambia wakristo kuwa Jumapili ndio siku ya ibada kama sio Roman Catholic
wote wajinga!!!Hawa ni waislam, kwa hapa kwetu husafiri umbali wa kilometa elf 6 kwenda huko Saudia kuupiga mawe mnara wakiamini ni shekhtani
View attachment 3036838
Wakristo nao madhehebu ya walokole wanapangwa na mchungaji wao wachume viboko vya mpera, mpapai, n.k. wanaanza kuitia bakora sakafu
View attachment 3036840