Wanawake wa Kiislamu nchini wamemuomba Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan awape ufadhili wanawake wenye hali duni kwenda Hija na Umrah kila mwaka ili kufanikisha wajibu wao wa kidini.
Akizungumza jijini Dar es salaam leo Machi 26,2025 kwenye kongamano lililowakutanisha wanawake zaidi ya 1,000...
Hawa ni waislam, kwa hapa kwetu husafiri umbali wa kilometa elf 6 kwenda huko Saudia kuupiga mawe mnara wakiamini ni shekhtani
Wakristo nao madhehebu ya walokole wanapangwa na mchungaji wao wachume viboko vya mpera, mpapai, n.k. wanaanza kuitia bakora sakafu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.