Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Wakuu ni naomba kwa waliomaliza kushugulikia biashara ya wakala wa niambie kipi kinahitajika hapa Kati ya lesen ya biashara na TIN?
Nisije sumbuka hapo mbeleni naanza shugulikia juma 3.. Nimeanza na TIN nataka enda maduka ya eatel na tigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa iyo lesen ni bei gani?Unahitaji vyote. Kwanza ukishapata TIN inabidi utumie TIN hiyo kuomba leseni ya biashara. Kama ni biashara ya vyakula ama dawa utahitaji leseni nyingine ya TFDA
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu ni naomba kwa waliomaliza kushugulikia biashara ya wakala wa niambie kipi kinahitajika hapa Kati ya lesen ya biashara na TIN?
Nisije sumbuka hapo mbeleni naanza shugulikia juma 3.. Nimeanza na TIN nataka enda maduka ya eatel na tigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote viwili.Wakuu ni naomba kwa waliomaliza kushugulikia biashara ya wakala wa niambie kipi kinahitajika hapa Kati ya lesen ya biashara na TIN?
Nisije sumbuka hapo mbeleni naanza shugulikia juma 3.. Nimeanza na TIN nataka enda maduka ya eatel na tigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahan mkuu vipi Siwezi tumia TIN kuprocess laini za wakala?Vyote viwili.
Nenda TRA kachukue TIN (hailipiwi)...kisha kutumia hiyo TIN, utapata leseni yako ya biashara.
All the best.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuUshajibiwa anayepaswa kujua thamani ya biashara yako ni afisa biashara ambaye ndo mtoa lessen cha kwanza kabisa nenda TRA kachukue TIN.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mkuu subiri nijiandae juma 3 kwa zoeziIla nenda kajaribu bahati yako. Kwani sometimes hao watu, huwa wanapindisha kidogo utaratibu ili ku-ensure wanapata mteja. So usikate tamaa, just go and try....
All the best kijana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategema unataka kufungua biashara gani man! Bei za leseni hutegemea aina ya biashara. Kama ni stationery nadhani ni around 180,000/-. Leseni ya vileo ni zaidi ya hapo! Mahine ya kusaga ni around 400,000/-.