Kuna utofauti Kati ya lesen na TIN?

Kuna utofauti Kati ya lesen na TIN?

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,601
Reaction score
1,172
Wakuu ni naomba kwa waliomaliza kushugulikia biashara ya wakala wa niambie kipi kinahitajika hapa Kati ya lesen ya biashara na TIN?

Nisije sumbuka hapo mbeleni naanza shugulikia juma 3.. Nimeanza na TIN nataka enda maduka ya eatel na tigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unahitaji vyote. Kwanza ukishapata TIN inabidi utumie TIN hiyo kuomba leseni ya biashara. Kama ni biashara ya vyakula ama dawa utahitaji leseni nyingine ya TFDA
Wakuu ni naomba kwa waliomaliza kushugulikia biashara ya wakala wa niambie kipi kinahitajika hapa Kati ya lesen ya biashara na TIN?

Nisije sumbuka hapo mbeleni naanza shugulikia juma 3.. Nimeanza na TIN nataka enda maduka ya eatel na tigo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu ni naomba kwa waliomaliza kushugulikia biashara ya wakala wa niambie kipi kinahitajika hapa Kati ya lesen ya biashara na TIN?

Nisije sumbuka hapo mbeleni naanza shugulikia juma 3.. Nimeanza na TIN nataka enda maduka ya eatel na tigo

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote viwili.

Nenda TRA kachukue TIN (hailipiwi)...kisha kutumia hiyo TIN, utapata leseni yako ya biashara.

All the best.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom