DOKEZO Kuna uvunjifu wa Katiba ya TAHLSO. Viongozi si wanafunzi

DOKEZO Kuna uvunjifu wa Katiba ya TAHLSO. Viongozi si wanafunzi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Viongozi walioteuliwa kuingoza TAHLSO wengi wao si wanafunzi wa vyuo washamalza masomo wapo mtaani jambo ambalo ni kinyume na katiba ya TAHLSO.

Kuna matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji mwingi wa fedha za TAHLSO...

TAKUKURU wanatakiwa kuliangalia hili kwa ukaribu sana
 
Viongozi walioteuliwa kuingoza tahlso wengi wao si wanafunzi wa vyuo washamalza masomo wapo mtaani jambo ambalo ni kinyume na katiba ya tahlso..

Kuna matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji mwingi wa fedha za tahlso...

TAKUKURU wanatakiwa kuliangalia hili kwa ukaribu sana
Ushahidi please
 
Ni wateule wasio kuwa na sifa na ni kinyume na utaratibu

TAKUKURU wapo kimya
Wameteuliwa na Nani? Kweli siku hizo wanafunzi elimu ya juu ni wapumbavu.
Mnaletewaje kiongozi ambaye si mwanafunzi?
Mwenyekiti wa UVCCM?
 
Viongozi walioteuliwa kuingoza tahlso wengi wao si wanafunzi wa vyuo washamalza masomo wapo mtaani jambo ambalo ni kinyume na katiba ya TAHLSO.

Kuna matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji mwingi wa fedha za tahlso...

TAKUKURU wanatakiwa kuliangalia hili kwa ukaribu sana
Sijaelewa na hii ni nini?
 
Mtaje asiekuwa mwanafunzi
 
Back
Top Bottom