A
Nani aliwachagua???
Waliteuliwa au kuchaguliwa???Ni wateule wasio kuwa na sifa na ni kinyume na utaratibu
TAKUKURU wapo kimya
Ushahidi pleaseViongozi walioteuliwa kuingoza tahlso wengi wao si wanafunzi wa vyuo washamalza masomo wapo mtaani jambo ambalo ni kinyume na katiba ya tahlso..
Kuna matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji mwingi wa fedha za tahlso...
TAKUKURU wanatakiwa kuliangalia hili kwa ukaribu sana
Wameteuliwa na Nani? Kweli siku hizo wanafunzi elimu ya juu ni wapumbavu.Ni wateule wasio kuwa na sifa na ni kinyume na utaratibu
TAKUKURU wapo kimya
Sijaelewa na hii ni nini?Viongozi walioteuliwa kuingoza tahlso wengi wao si wanafunzi wa vyuo washamalza masomo wapo mtaani jambo ambalo ni kinyume na katiba ya TAHLSO.
Kuna matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji mwingi wa fedha za tahlso...
TAKUKURU wanatakiwa kuliangalia hili kwa ukaribu sana