Kuna uwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya, ubalozi wa Marekani, ubalozi wa Canada, ubalozi wa Uingereza na ubalozi wa Sweden .

LEO HAKUNA GARI LA KUMLETA MTUHUMIWA WA UGAIDI MBOWE MAHAKAMANI
 
YAANI WOTE HAO WANAJITAHIDI KUJA KUMUOKOA GAIDI? WAMESHAJUWA KUNASHIDA SEHEMU NDIYO MAANA WANAKUJA WENGI KAMA KUSINGEKUWA NA KESI YA KUJIBU WAKILI MMOJA TU ANATOSHA AISEE MBOWE GAIDI
Katika uandishi wako unaonesha haujui hata Mbowe ana kosa lipi lakini umekaza shingo tena kwa mwandiko mnene eti ..."MBOWE GAIDI"...!Unajiabisha kwa kutaka kuifurahisha nafsi yako 😝😝😝😝😝
 
Katika uandishi wako unaonesha haujui hata Mbowe ana kosa lipi lakini umekaza shingo tena kwa mwandiko mnene eti ..."MBOWE GAIDI"...!Unajiabisha kwa kutaka kuifurahisha nafsi yako 😝😝😝😝😝
UTAPATA SHIDA SANA MAWAKILI WOTE HAO WA NINI KAMA MBOWE SIYO GAIDI NA ANAKULA MIAKA YA KUTOSHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…