Mkuu hyo mimba ya kwako. Kumbuka hv cku ya 11 toka bleed ni hatari kama ulisex naye cku ya 9 basi uwezekano wa kupata mimba ni mkubwa zaidi kwan mbegu za kiume zinauwezo wa kukaa hai kwa masaa 72. Toka cku ya 9 uliyosex naye mbegu zako zikawa hai kwa sku tatu(3) mpaka zife kwa masaa 72 itakuwa sku ya 11 tayari so kama kakwambia anayo ni yako mkuu ondoa shaka zaidi 0620436634 pia uelewe vizuri