Kuna uwezekano akapata mimba na hii tarehe?

Kuna uwezekano akapata mimba na hii tarehe?

Mkuu hyo mimba ya kwako. Kumbuka hv cku ya 11 toka bleed ni hatari kama ulisex naye cku ya 9 basi uwezekano wa kupata mimba ni mkubwa zaidi kwan mbegu za kiume zinauwezo wa kukaa hai kwa masaa 72. Toka cku ya 9 uliyosex naye mbegu zako zikawa hai kwa sku tatu(3) mpaka zife kwa masaa 72 itakuwa sku ya 11 tayari so kama kakwambia anayo ni yako mkuu ondoa shaka zaidi 0620436634 pia uelewe vizuri
na kupata mtoto ni jambo la baraka sana
 
Waswas wang n kuwa skuona
wazungu wa pili kwenye kinga yan
Baada ya kutoa wa kwanza na kubadilisha
Kinga Sasa wazungu wa pili sku waona
Ndo Hof yang
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We jamaa ni fara sana, alafu umenichekesha sana.
Kwahiyo ulipizi upepo
 
Mkuu cjui maana after kumaliza wakat
Natoa ndo nliwazungu wakiwa wadogo
Sana co wengi wa mara ya kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unajua we jamaa ni fara Hahaha h
Hivi una umri gani kudadeki zako
 
Back
Top Bottom