Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

Tunajenga kwa pesa zetu na kununua madege kwa pesa zetu wenyewe. Sisi ni dona kantry. Watanzania tutembee kifua mbere... Alisikika akitamba yule fara.
 
Tunajenga kwa pesa zetu na kununua madege kwa pesa zetu wenyewe. Sisi ni dona kantry. Watanzania tutembee kifua mbere... Alisikika akitamba yule fara.
Yule mwehu akili zake zilikuwa kama za rafk zake Sabaya na Bashite
 
Shetani yule, huku akiweka mikono yake pamoja na kuinamisha kichwa kwa unyenyekevu feki. Jumapili wa kwanza kupokea mkate na divai pale mbele!
Ogopa mtu anayeomba kuombewa kila anapokutana na wahitaji
 
1. REA imeanza kazi Mwaka 2007,(awamu ya kwanza ya Kikwete.
8. Uwanja wa ndege wa mpanda umefadhiliwa na UNHCR.
14. Ujenzi wa soko kila mkoa hapo ni uongo.
 
Acha bla bla... Weka na thamani halafu tuilinganishe na Trilion 29. Hata mimi wakati wa sikukuu nimenunua vitunguu, nyanya, mdalasini, iliki, nyama ya ng'ombe, samaki, mbuzi, kuku, mapambo, zawadi za watoto, usafiri kwenda na kurudi toka beach nk. Mazagazaga kibao lakini hata mil 1 haifiki.
 
Hata flyovers ni za Kikwete pia kwa msaada wa Wajapani. Huyo Mwendazake ali brainwash sana wafuasi wake.
1. REA imeanza kazi Mwaka 2007,(awamu ya kwanza ya Kikwete.
8. Uwanja wa ndege wa mpanda umefadhiliwa na UNHCR.
14. Ujenzi wa soko kila mkoa hapo ni uongo.
 
Idd Amin na madikteta wengine bado wanaongelewa itakuwa huyu dikteta uchwara? Kama hautaki mumwongelea, nenda jukwaa la mapenzi huko.
Hili swali lingekuwa zuri kama Marehemu Magu angekuwa hai lkn kwa sasa ni nosense.huwezi kumhukumu mtu ambae hayuko hai.mnaowajadili wafu mnakosea unless mnawajadili kwa mazuri yao lkn si kwa mabaya.kila nafsi itaonja umauti.
 
Jambazi yule mkuu, alikopa kununua risasi maana alipanga kukaa madarakani milele
 
Duh.. sasa nyanya zimeingiaje hapo?,

Wivu tu. Umejiandaa kwa vita, nisije nikapigwa bani bule. hahah.
 
1. REA imeanza kazi Mwaka 2007,(awamu ya kwanza ya Kikwete.
8. Uwanja wa ndege wa mpanda umefadhiliwa na UNHCR.
14. Ujenzi wa soko kila mkoa hapo ni uongo.
REA ya Kikwete ilifanya kazi vijiji 2000 tu. Nenda kwenye amasoko utaona utamu.

Mwanamme alipiga kazi kisawasawa hadi mkalalamika kutwa kucha anazindua tu.
 
Jakaya ndo alilipa mishahara kwa mkopo waulize watumishi waliwahi kufika mpaka tarehe 38 hajapata mishahara yao kipindi icho
 
Vita ya nini sasa? Toa hoja acha matusi. Kama haukunielewa kwa mfano huo rahisi basi nakuacha. Mimi na wewe tuko level tofauti sana.
Duh.. sasa nyanya zimeingiaje hapo?,

Wivu tu. Umejiandaa kwa vita, nisije nikapigwa bani bule. hahah.
 
Daraja la Mfugale ni kazi ya utawala wa JK, ndio uliotia saini mkataba wa ujenzi na pesa ilitoka Japan

Daraja la Coco beach pia ni msaada kutoka South Korea na mradi ulitafutwa na utawala wa Jakaya.

Ukiondoa SGR, Bwawa la umeme na manunuzi ya hovyo ya midege, vimiradi vyake vingine ni vya kawaida sana
 
Jakaya ndo alilipa mishahara kwa mkopo waulize watumishi waliwahi kufika mpaka tarehe 38 hajapata mishahara yao kipindi icho
Sijui anaongelea nchi gani huyu!
Sijawahi kupokea mshahara zaidi ya tar. 28 tokea enzi za Mkapa.
Sasa sijui wamwongopea nani!!!
 
Akaunti za jiwe zikaguliwe
 
Issue ni kwamba.. Kama ni Mkopo umepokelewa lini?

Maana hata Bwawa la Umeme nalo ni wazo la Nyerere
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…