Kuna uwezekano ikanyesha Mvua ya damu Tanzania El nino hii.. Serikali koppleni Mabilioni tena

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Salaam Wakuu

Serikali imekopa Mabilioni ya hela kkutoka bank ya maendeleo ya Afrika ili kukabiliana na Mvua za El nino.

Sasa hela zilizokopwa za El nino zimeisha kabla ELninyo haijaanza. Na mvua ya Safari kii nasikia ni ya ya damu. Mnakumbuka mauaji ya 29.10.2025? Ndivyo damu inavyo fanana kwa wale wana ccm wanaotamani damu.

Serikali ikope tena kwani mitaro bado haijazibuliwa na madaraja bado yanarekebishwa na tumeana na madaraja ya Tanga.

Samia Suluhu anawapenda Watanzania, hawezi kubali watu wake wafe sababu ya El nino kisa kuogopa kukopa. Tanzania imebarikiwa sana kumpata Dakitari Mama Samia.

Serikali kkopeni hela nyingine tununue V8 za kwenda kukagua mafuriko na kutoa pole kwa Wahanga.

Wataalamu wa hali ya hewa wamedai Mvua ya damu kwa kawaida hutokea wakati mkusanyiko mkubwa wa vumbi jekundu linapochanganyika na mvua. Kutokana na hilo, rangi ya mvua huonekana nyekundu.

Kwa mujibu wa ripoti ya Met Office, mvua ya damu husababishwa na upepo mkali au dhoruba ambao hubeba vumbi. Vumbi hili hutawanywa angani na linaweza kusafiri maelfu ya kilomita kutokana na mzunguko wa angahewa.

Hatimaye vumbi litaanguka kutoka angani kwa sababu ya graviti au kunasa katika mawingu ya mvua na kuchanganyika na matone ya maji. Ndipo, mvua inaponyesha, matone ya mvua huonekana kuwa mekundu.

Na kama ikitokea Tanzania, tunawaweza jitangaza kimataifa. Na tunamshukuru Samia Suluhu hassan kwa kuendelea kukopa hela ya kupambana na hii Mvua ya El nino ambayo inadaiwa inaweza safari huu kunyesha ya damu.

Deni la Tanzania bado himilivu tukope. Kwani kwa takwimu za BoT, deni la taifa ni dogo na himilivu. Taifa lina deni la Shilingi ya Tanzania takribani TZS 138.3 trilioni.
 
Mithali 29:2

“Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua".
 
😭😭🤭🥱🤔😂😀😄😃
 
Back
Top Bottom