Hans_Lamar
New Member
- Nov 14, 2021
- 2
- 0
Je,kuna uwezekano wa mwanamke kujifungua miezi 8 na mtoto akawa fresh???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu miezi 8 anaweza kuishi ila ni nadra sana.Mtoto miezi 7 anaweza kuzaliwa ndo wale wanoitwa njiti ila mtoto wa miezi 8 akizaliwa anakufa bcz katika mwezi wa 8 kuna transformation inatokea hapo kwa mtoto.
hope nimeeleweka
Nimeona hii google mna mm tulivosoma f6 mwalimu ndo alitwambia ivoMkuu miezi 8 anaweza kuishi ila ni nadra sana.
Ndiyo ila siyo kuwa fresh kabisa kama mtoto aliyetimiza umri wake. Huyo Anakuwa premature baby , kwahiyo atahitaji huduma ya joto na kukomaza mapafu.Je,kuna uwezekano wa mwanamke kujifungua miezi 8 na mtoto akawa fresh???
Hapana hapa umedanganya.... Mtoto wa miezi 8 ana nafasi nzuri ya kuishi kuliko mtoto wa miezi 7.Mtoto miezi 7 anaweza kuzaliwa ndo wale wanoitwa njiti ila mtoto wa miezi 8 akizaliwa anakufa bcz katika mwezi wa 8 kuna transformation inatokea hapo kwa mtoto.
hope nimeeleweka
Hapana hapa umedanganya.... Mtoto wa miezi 8 ana nafasi nzuri ya kuishi kuliko mtoto wa miezi 7.Miezi 7 yes
Miezi 8 no
Miezi 9 yes
Mm nilisoma ivo ila ukileta uthibitisho nitaupokea piaHapana hapa umedanganya.... Mtoto wa miezi 8 ana nafasi nzuri ya kuishi kuliko mtoto wa miezi 7.
Hapa umeandika kinyume kabisa
How?Big no..
Ulisoma wapi mkuu?Mm nilisoma ivo ila ukileta uthibitisho nitaupokea pia
Sasa ww untka ushindani kma huwezi kaa kimyaHow?
Akipata premature baby care ana nafasi kubwa ya kuishi
Ulisoma wapi mkuu?
Nipe wewe maandishi yanayosema premature baby wa miezi 7 (wiki 28) ana nafasi kubwa ya kuishi kuliko wa miezi 8 ( wiki 32).
Tatizo la watanzania huwa Kuna maneno ya kudanganyana yanatembea miongoni mwetu ya upotoshaji toka kitambo- mojawapo ni hiyo ya kuwa mtoto njiti wa miezi 7 anaishi kuliko mtoto njiti wa miezi 8.Sasa ww untka ushindani kma huwezi kaa kimya
Yni usitumie Elimu yko kuwaona wenzako inferior kwanza hujaweka ata ushahidi wa kisayansi just roporopo zako tuuTatizo la watanzania huwa Kuna maneno ya kudanganyana yanatembea miongoni mwetu ya upotoshaji toka kitambo- mojawapo ni hiyo ya kuwa mtoto njiti wa miezi 7 anaishi kuliko mtoto njiti wa miezi 8.
Survival rate ya premature baby inategemea na Birth weight ya mtoto, Umri wa mtoto anaokuwa amezaliwa na upatikanaji wa huduma za kuwatunza watoto njiti.
Nafasi ya mtoto mwenye uzito mkubwa kusurvive ni kubwa kuliko mtoto aliyezaliwa na uzito mdogo. Hivyo hivyo nafasi ya mtoto aliyezaliwa katika umri mkubwa ana nafasi kubwa ya kusurvive kuliko mtoto wa umri mdogo..... The higher the Gestation age the better the survival rate.
Paper na maelezo ya kisayansi zipo nyingi tu ,jiongeze hata Kwa kugoogle tu.
Mwalimu wako aliwapotosha/danganya achana naye.Yni usitumie Elimu yko kuwaona wenzako inferior kwanza hujaweka ata ushahidi wa kisayansi just roporopo zako tuu
Nikiwa f6 tulimuuliza mwalimu akatujibu ivo