Kuna uwezekano kujifungua mimba ya miezi 8 na mtoto akawa salama?

Kuna uwezekano kujifungua mimba ya miezi 8 na mtoto akawa salama?

Yni usitumie Elimu yko kuwaona wenzako inferior kwanza hujaweka ata ushahidi wa kisayansi just roporopo zako tuu
Nikiwa f6 tulimuuliza mwalimu akatujibu ivo
Imagine this!

Huyu anaongelea theoretically sio by experience, sasa yy haleti ushahidi ktk hili
 
Watoto wengi wakiota meno hupata homa au kuharisha ,cha ajabu madaktari watakubishia
Homa ndiyo ila kuharisha hapana.

Kuharisha unayoizungumzia ni Ile ya rotavirus ambayo Sasa hivi watoto wanapewa chanjo yake. Kwahiyo diarrhea ya mara kwa mara kwa watoto kwasababu ya huyu virus imepungua sana
 
Nilijua utabisha ila huku mtaani ndio hivyo,hospital hata hawajui kuwa kuna kitu kinaitwa mchango,tumbo la watoto.na hizo dawa hawana
 
Nilijua utabisha ila huku mtaani ndio hivyo,hospital hata hawajui kuwa kuna kitu kinaitwa mchango,tumbo la watoto.na hizo dawa hawana
Umehama kutoka kuharisha ,Sasa unataka tujadili mchango tena?
 
No.. nasikia miezi 8 mtoto huvurugika kisha hujipanga vizuri so haiwezekani!
 
Back
Top Bottom