sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Tunasikia Egypt walitoa habari juu ya shambulio hili ila huenda Israel wakaona wakidhibiti mapema mambo yatakuwa yale yale ya kuruhusiwa kumchapa Hamas na Chelewa wakitaka kurusha ngumi wanazuiwa (cease fire), itakuwa walifumba jicho kuwatoa sadaka baadhi ya waisrael kwa lengo ya kupata go ahead ya kurusha konde la kiutu uzima na si kuchapia chelewa ambazo Hamas kashazoea.
Kuna muda mkubwa atachoka itabidi amruhusu maksudi mdogo wake ampige mbele ya mama yake, tena anajilrngesha vizuti ili mdogo aweze kumpiga makwenzi na mbata, mkubwa anaweza asisikie maumivu sana ila atatoa kilio cha kinafki kwamba bwana mdogo anamuumiza sana.
Hii yote ili apate sababu ya kurusha walau ngumi mbili ama tatu za kiutu uzima kwa kisingizio cha self defrnce ili dogo ashike adabu, nae mama anakuwa upande wa mkubwa kuona karusha makonde kujilinda.