Kuna uwezekano Mbowe anafahamu walipo wanachadema waliowahi kupotezwa.

Watanzania tutumie busara vichwani mwetu kuelekea huu uchaguzi kashifa na kuchafuana sio jambo jema kutompenda mtu si sababu ya kumpa mabaya tena bila ushahidi tafadhari toa ushahidi wa ukiongeacho tofauti na hapo chama tutakiacha na makovu yasiyoweza futika zaidi ya kukiua chama na kutengeneza mgawanyiko kati ya viongozi wajao vs wanachana
 
Huyu Mbowe akikamatwa akapelekwa sehemu nzuri , akafinywa ipasavyo atatuambia tu ukweli.
Inaonekana yeye ndiye anatoa go ahead kabla CCM hawajafanya yao kwa wana chadema.
🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫wasikusikie
 
Jamani acheni hizo,,hizo ni chuki tu,yaani ni sawa na mtu kuwateka jamaa zake,haiwezi kuingia akilini abadani!!!, Ni ili iweje sasa!!, upuuzi mtupu huu,mods waangalieni vizuri watu kama hawa.
 
Huyu Mbowe akikamatwa akapelekwa sehemu nzuri , akafinywa ipasavyo atatuambia tu ukweli.
Inaonekana yeye ndiye anatoa go ahead kabla CCM hawajafanya yao kwa wana chadema.
Sasa kwa nini wasifinywe hao waliopewa go ahead?

Mwisho namalizia kwa kauli ya Tundu Lissu aliyoitoa wiki iliyoisha:
"Wanataka waniue halafu wamsingizie Mbowe".
 
Haiwezekani wanachama wako wanakamatwa kama mwewe anavyokamata vifaranga halafu unapiga kelele mara mbili tatu halafu unakaa kimya. Haiwezekani!. Mwenyekiti aseme, kwa nini wanaotekwa hawadai kwa kutumia nguvu ya wanachadema?
 
Huyu Mbowe akikamatwa akapelekwa sehemu nzuri , akafinywa ipasavyo atatuambia tu ukweli.
Inaonekana yeye ndiye anatoa go ahead kabla CCM hawajafanya yao kwa wana chadema.
Maharage ya wapi haya ndugu maana ushuzi si wa kawaida huu
 
Huyu Mbowe akikamatwa akapelekwa sehemu nzuri , akafinywa ipasavyo atatuambia tu ukweli.
Inaonekana yeye ndiye anatoa go ahead kabla CCM hawajafanya yao kwa wana chadema.
Tanzania huwezi kuwa na chama cha siasa kama sio sistim.
Naomba niishie hapo
 
Huyu Mbowe akikamatwa akapelekwa sehemu nzuri , akafinywa ipasavyo atatuambia tu ukweli.
Inaonekana yeye ndiye anatoa go ahead kabla CCM hawajafanya yao kwa wana chadema.
Wakati mama hajaelewa system ikoje alimkamata Mbowe akamtia gerezani kwa sababu ni gaidi. Baadae akamwachia ili amsaidie.
 
Back
Top Bottom