Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna uwezekano Mkubwa sana mtu anayejiita Kaka Yake Humphrey polepole Akawa na Matatizo ya akili pamoja na Msongo Wa Mawazo. Ni mtu ambaye ukimsikiliza vizuri na kwa umakini unabaini wazi kabisa ni mtu ambaye hayupo sawa kichwani na pengine ameelemewa na msongo wa mawazo .
Kuna uwezekano akawa anatumia vitu ambavyo vimemuathiri mfumo wake mzima wa ubongo . Sina uhakika kama yupo sawa kichwani. Sina uhakika kama huwa anaelewa hata anachokizungumza. Sina uhakika hata kama huwa anajua nini kinamtoka mdomoni Mwake.
Ni mtu wa kujiongelea tu lolote limjialo mdomoni mwake bila hata maandalizi. Ni muongo muongo na mikwala mbuzi kibao utafikiri anaongea na watoto wa chekechea.
Majuzi juzi hapa ametoka na Vijikauli vya uzushi na uongo juu ya kamanda wetu wa polisi ambaye ni Mkuu wa upepelezi wa makosa ya jinai kanda maalumu ya Dar es salaam. Lakini sote na Dunia nzima imemuona hadharani kabisa ndugu Faustine Mafwele Akiwa katika hali njema kabisa kiafya na akiendelea na utekelezaji wa majukumu yake ya kipolisi.
Sasa Embu muiteni huyo Anayejiita Kaka yake Humphrey polepole ili aje atoe maelezo vizuri juu ya maneno yake . Ndio Maana nawaambieni ya kuwa yule jamaa kuna uwezekano akawa ni mgonjwa wa akili na hayupo sawa kichwani na unaweza kukuta pengine amesahau kabisa hata alichokizungumza.
Utashangaa hapohapo majitu kama Ma CHADEMA yanakuwa yenyewe yanashangilia na kurukia rukia tu kila habari ilimradi tu yajifariji .maana yenyewe yalishazoea na kupenda kusikia habari mbaya tu utafikiri machawi. Mungu ayasamehe sana haya Majamaa maana ni kama yalishajikatia tamaa kabisa ya Maisha. .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.