Kuna Uwezekano mkubwa anayejiita kaka yake Humphrey Polepole akawa na matatizo ya akili na msongo wa mawazo

Huyo na wewe ambaye ndugu zako kibao waliuawa Mbeya bado ukaja hapa unasifia bibi yako kama ZUZU nani ana matatizo ya akili!?,ukiacha MACHAWA wenzako jamii forums watu wote jamii forums wanakuona una akili za kishoga za kusifia kila kitu hata ujinga.
Acheni kuongea ujinga ujinga hapa wewe . Hamtaweza kuichafua Nchi yetu hata kidogo. Sasa oneni Marekani anavyoua watu Hovyo huko Iran
 
Acheni kuongea ujinga ujinga hapa wewe . Hamtaweza kuichafua Nchi yetu hata kidogo. Sasa oneni Marekani anavyoua watu Hovyo huko Iran
Acha kuamisha magoli kuongelea marekani, hivi unasomaga unayoandika kweli!?,una akili timamu kweli!?,huwezi kuishi kama watanzania Wengine Kwa kufanya kazi halali ni lazima uwe chawa!?.Ukiondoa chawa wenzako hapa JF Wengine unatutia hasira sana na mada zako za ki.***** na ki.shoga.
 

Ama kwa hakika nyani haoni kundule. Wewe mwenyewe dish limeyumba, halafu unakuja na andiko kama hili.
 
Bora yeye hakyuua na amekutwa na hiyo hair je vii wae wauaji viburi wa madaraka?
 
 
Kaka wa HPolepole anayejiita Agustino ni tapeli tu, wanaomuamini wana upeo finyu wa mambo
Tapeli kama serikali ya CCM siyo!! Inayohesabu kura mil 32 nchi nzima kwa muda wa masaa 24 tu wakati mitandao yote ikiwa imezimwa.
 
Wewe uliye mgonjwa wa akili tangu utotoni unamuona mtu aliyepata psychological trauma kutokana na mauji ya mdogo wake ndio mgonjwa wa akili.
 
Wewe uliye mgonjwa wa akili tangu utotoni unamuona mtu aliyepata psychological trauma kutokana na mauji ya mdogo wake ndio mgonjwa wa akili.
Kwani wewe unaona yupo sawa kichwani yule jamaa?
 
Kwahiyo unathamini wanaokufa Irani kuliko waliouawa na bibi yako tarehe 29 October siku ya uchaguzi!?,ndio maana nikakwambia hauna akili, akili zako zipo matakoni kusifia viongozi, tafuta kazi za kufanya uchawa unakaribia mwisho.
 
Tapeli kama serikali ya CCM siyo!! Inayohesabu kura mil 32 nchi nzima kwa muda wa masaa 24 tu wakati mitandao yote ikiwa imezimwa.
Mlitaka tusichague Rais kwa vile nyie mmesusa?? NRNE ni usenge tu. Angalia sasa hamna hata mbunge mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…