Kuna uwezekano Mkubwa Chaumma ikawa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi mkuu October

Wauzaji wa Container Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
2,224
Reaction score
4,092
Mpaka sasa Mpina ameshakosa sifa ya kugombea urais.

Ushauri , Kama anaweza aende kisesa akagombee ubunge .

Ila naona wazi Chaumma wanaenda kuwa Chama kikuu cha upinzani.
 
ACT-WAZALENDO wana kura nyingi Zanzibar na maeneo mengine ya bara kama hawatafanyiwa figisu figisu. Wanaweza kuwa Chama Kikuu cha Upinzani.

Amandla...
 
Haina Friday yoyote kwa kutoungana na wenzao chedema kugomea uchaguzi, ni wabinafisi
Chadema ilifanya juhudi gani kuwashawishi waungane nayo? Chadema ndio wabinafsi kwa kutokubali kuwa kuna uwezekano wa vyama vingine kutofautiana nacho. Badala ya kuwabeza na kuwaita CCM B, CCM C, vyama vya mchongo wangejaribu kuheshimu vyama vingine. Matusi na kebehi za Chadema zimechangia watu kuto waunga mkono Mahakamani wakati wa kesi ya Lissu.

Amandla...
 
Hata mkifadhiri vipi, mkipambe muwezavyo kenge ni kenge tu, hawezi kuwa mamba.
 
Chadema ilifanya juhudi gani kuwashawishi waungane nayo? Chadema ndio wabinafsi kwa kutokubali kuwa kuna uwezekano wa vyama vingine kutofautiana nacho. Badala ya kuwabeza na kuwaita CCM B, CCM C, vyama vya mchongo wangejaribu kuheshimu vyama vingine. Matusi na kebehi za Chadema zimechangia watu kuto waunga mkono Mahakamani wakati wa kesi ya Lissu.

Amandla...
Matusi wakati ni kweli? Yaani wewe unasema kabisa CHADEMA ifanye deal na chama cha Zitto kilichoanzishwa kwa msaada wa Kikwete? Zitto yeye nia yake ni kushibisha tumbo lake wakati CHADEMA mpya ina wapigania haki wa kweli.
 
Mpaka sasa Mpina ameshakosa sifa ya kugombea urais.

Ushauri , Kama anaweza aende kisesa akagombee ubunge .

Ila naona wazi Chaumma wanaenda kuwa Chama kikuu cha upinzani.
ACT wazalendo ndio kitakuwa chama kikuu cha uoinzani kwani kitapata viti vingi vya ubunge,kumbuka yale majimbo yote ya pemba watachukua na nusu ya unguja watachukua
 
Matusi wakati ni kweli? Yaani wewe unasema kabisa CHADEMA ifanye deal na chama cha Zitto kilichoanzishwa kwa msaada wa Kikwete? Zitto yeye nia yake ni kushibisha tumbo lake wakati CHADEMA mpya ina wapigania haki wa kweli.

Mkuu chadema ndo ccm
 
Back
Top Bottom