Wauzaji wa Container Tz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 2,224
- 4,092
ACT-WAZALENDO wana kura nyingi Zanzibar na maeneo mengine ya bara kama hawatafanyiwa figisu figisu. Wanaweza kuwa Chama Kikuu cha Upinzani.Mpaka sasa Mpina ameshakosa sifa ya kugombea urais.
Ushauri , Kama anaweza aende kisesa akagombee ubunge .
Ila naona wazi Chaumma wanaenda kuwa Chama kikuu cha upinzani.
Ruzuku Mkuu .Ina faida gani?
Haina Friday yoyote kwa kutoungana na wenzao chedema kugomea uchaguzi, ni wabinafisiIna faida gani?
Na mwamba wa mikakati anakabidhiwa chama muda wowoteMpaka sasa Mpina ameshakosa sifa ya kugombea urais.
Ushauri , Kama anaweza aende kisesa akagombee ubunge .
Ila naona wazi Chaumma wanaenda kuwa Chama kikuu cha upinzani.
Chadema ilifanya juhudi gani kuwashawishi waungane nayo? Chadema ndio wabinafsi kwa kutokubali kuwa kuna uwezekano wa vyama vingine kutofautiana nacho. Badala ya kuwabeza na kuwaita CCM B, CCM C, vyama vya mchongo wangejaribu kuheshimu vyama vingine. Matusi na kebehi za Chadema zimechangia watu kuto waunga mkono Mahakamani wakati wa kesi ya Lissu.Haina Friday yoyote kwa kutoungana na wenzao chedema kugomea uchaguzi, ni wabinafisi
Matusi wakati ni kweli? Yaani wewe unasema kabisa CHADEMA ifanye deal na chama cha Zitto kilichoanzishwa kwa msaada wa Kikwete? Zitto yeye nia yake ni kushibisha tumbo lake wakati CHADEMA mpya ina wapigania haki wa kweli.Chadema ilifanya juhudi gani kuwashawishi waungane nayo? Chadema ndio wabinafsi kwa kutokubali kuwa kuna uwezekano wa vyama vingine kutofautiana nacho. Badala ya kuwabeza na kuwaita CCM B, CCM C, vyama vya mchongo wangejaribu kuheshimu vyama vingine. Matusi na kebehi za Chadema zimechangia watu kuto waunga mkono Mahakamani wakati wa kesi ya Lissu.
Amandla...
ACT wazalendo ndio kitakuwa chama kikuu cha uoinzani kwani kitapata viti vingi vya ubunge,kumbuka yale majimbo yote ya pemba watachukua na nusu ya unguja watachukuaMpaka sasa Mpina ameshakosa sifa ya kugombea urais.
Ushauri , Kama anaweza aende kisesa akagombee ubunge .
Ila naona wazi Chaumma wanaenda kuwa Chama kikuu cha upinzani.
Matusi wakati ni kweli? Yaani wewe unasema kabisa CHADEMA ifanye deal na chama cha Zitto kilichoanzishwa kwa msaada wa Kikwete? Zitto yeye nia yake ni kushibisha tumbo lake wakati CHADEMA mpya ina wapigania haki wa kweli.