MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ngoma ni nzito sana hapaHuyo namba 2 ndio tetesi asilimia kubwa ziko kwake, mengine tumsubirie yeyote atakayemwaga wino
Sio Ibenge tena?1. Rene Weiler ( Switzerland ) aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa Afrika Al Ahly
2. Diego Garzitto ( France ) aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa ya Sudan ya El Merreikh na Kamaliza nayo Mkataba rasmi leo
3. Sebastian Desabre ( France ) aliyekuwa Kocha wa Timu ya Taifa ya Uganda ( The Cranes ) ila anataka Pesa ( Fedha ) ndefu mno
4. Steve Keane ( Scotland ) Kocha Msaidizi wa Melbourne Victory ya nchini Australia
Kila la Kheri kwa Simba SC kama kweli tu mmojawapo atakuwa Kocha Mkuu wa Simba SC japo hili suala la FCC na Simba SC liangaliwe Kiumakini.
Sio imedhibiti....wamevurugwa kuhusu kocha.. kichwa kinawauma...Kupata kocha Bora ktkt ya msimu + mashindano ya kipuuzi waliyoanzisha.. wachezaji wapya waliongeza.....yaani kama wanaanza moja vile....WANAKWENDA KUPOTEANA....CEO anazamisha jahazi, ana ujuzi wa kuendesha soka...alipachikwa na Mudihicho cheo kwa maslahi ya Mudi....Simba imedhibiti sana taarifa zake kuvuja hovyo hongera sana kwao
Sio imedhibiti....wamevurugwa kuhusu kocha.. kichwa kinawauma...Kupata kocha Bora ktkt ya msimu + mashindano ya kipuuzi waliyoanzisha.. wachezaji wapya waliongeza.....yaani kama wanaanza moja vile....WANAKWENDA KUPOTEANA....CEO anazamisha jahazi, ana ujuzi wa kuendesha soka...alipachikwa na Mudihicho cheo kwa maslahi ya Mudi....
Aha ha...kama Kahata vile hajui anakatwa au anachinjwa....ila atacheza tu[emoji1787][emoji2]Umevurugwa wewe, emu nenda kanunue kalenda!!
Ila mmoja wao kati ya hawa niliowataja hapa atapita. Anatajwa leo Jumapili au Kesho Jumatatu katika Press Conference ya Simba SC pale Serena.Simba imedhibiti sana taarifa zake kuvuja hovyo hongera sana kwao
Eti 'mashindano ya kipuuzi waliyoanzisha',Sio imedhibiti....wamevurugwa kuhusu kocha.. kichwa kinawauma...Kupata kocha Bora ktkt ya msimu + mashindano ya kipuuzi waliyoanzisha.. wachezaji wapya waliongeza.....yaani kama wanaanza moja vile....WANAKWENDA KUPOTEANA....CEO anazamisha jahazi, ana ujuzi wa kuendesha soka...alipachikwa na Mudihicho cheo kwa maslahi ya Mudi....
Umenena mkuu, nadhani jamaa amekuelewa vema ndio maana hajataka kurudi tena!Eti 'mashindano ya kipuuzi waliyoanzisha',
1.Yaani hujaona kwamba Simba wamefanua vyema kupimana ubavu na timu zenye uwezo sawa na zile itakazokabiliana nazo kwenye Klabu Bingwa?
2.Ulitaka Simba icheze na Sitakishari FC ya Kwamtogole kama sehemu ya maandalizi yake ya hatua ya Makundi ya CL?
3.Bila michuano hiyo makocha wapya watawasomaje na hata kuzoeana wachezaji wa Simba, na kinyume chake?
Simba imefanya uamuzi sahihi kuandaa mashindano hayo ya Simba Super Cup. Na ninaamini Utopolo wenyewe wamekiri kimoyo moyo (kama ulivyokiri wewe) kuwa Simba ina akili kubwa.NA SI AJABU UTOPOLO NANYI MTAIGA JAMBO HILI KAMA MLIVYOIIGA SIMBA DAY KWA KUANZISHA 'WIKI YA MWANANCHI'.
Walifikiri tutajipimakwenye bonanza la Mapinduzi, hii ndio michezo halisi ya kujipimaUmenena mkuu, nadhani jamaa amekuelewa vema ndio maana hajataka kurudi tena!
Mkeka wako umetiki mkuu uko vzuri.1. Rene Weiler ( Switzerland ) aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa Afrika Al Ahly
2. Diego Garzitto ( France ) aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa ya Sudan ya El Merreikh na Kamaliza nayo Mkataba rasmi leo
3. Sebastian Desabre ( France ) aliyekuwa Kocha wa Timu ya Taifa ya Uganda ( The Cranes ) ila anataka Pesa ( Fedha ) ndefu mno
4. Steve Keane ( Scotland ) Kocha Msaidizi wa Melbourne Victory ya nchini Australia
Kila la Kheri kwa Simba SC kama kweli tu mmojawapo atakuwa Kocha Mkuu wa Simba SC japo hili suala la FCC na Simba SC liangaliwe Kiumakini.
Upo nyuma ya muda chief.Kocha atatoka Burundi au Rwanda