Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Hahahahahaahhahaahahhahahahahahaha
Ila wewe jamaa bwanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha wako wa Taifa stars mbovu anatoka wapi!!?Kocha atatoka Burundi au Rwanda
Mbona tumetangaziwa Didier Gomes da Rosa? Ndo yupi kati ya hawa uliotaja Mkuu.1. Rene Weiler ( Switzerland ) aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa Afrika Al Ahly
2. Diego Garzitto ( France ) aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa ya Sudan ya El Merreikh na Kamaliza nayo Mkataba rasmi leo
3. Sebastian Desabre ( France ) aliyekuwa Kocha wa Timu ya Taifa ya Uganda ( The Cranes ) ila anataka Pesa ( Fedha ) ndefu mno
4. Steve Keane ( Scotland ) Kocha Msaidizi wa Melbourne Victory ya nchini Australia
Kila la Kheri kwa Simba SC kama kweli tu mmojawapo atakuwa Kocha Mkuu wa Simba SC japo hili suala la FCC na Simba SC liangaliwe Kiumakini.
Sio imedhibiti....wamevurugwa kuhusu kocha.. kichwa kinawauma...Kupata kocha Bora ktkt ya msimu + mashindano ya kipuuzi waliyoanzisha.. wachezaji wapya waliongeza.....yaani kama wanaanza moja vile....WANAKWENDA KUPOTEANA....CEO anazamisha jahazi, ana ujuzi wa kuendesha soka...alipachikwa na Mudihicho cheo kwa maslahi ya Mudi....
Mbona umeandika kama mtu mwenye kiungulia,vidonda vya tumbo,maumivu ya tumbo,upo period, Una uchungu, wivu,chuki,husda,fitina na roho mbaya. Unateseka ukiwa wapi Yanga mwenzangu? Wanapofanya vizuri watu pongeza yule dada yupo smart. Ameiweka simba katika ramani ya dunia kwa sasa. Huyu dada ni vwey smart kwa kweli. Very smart na hata nashindwa elewa amewezaje jiongeza kwa haraka hivi.Sio imedhibiti....wamevurugwa kuhusu kocha.. kichwa kinawauma...Kupata kocha Bora ktkt ya msimu + mashindano ya kipuuzi waliyoanzisha.. wachezaji wapya waliongeza.....yaani kama wanaanza moja vile....WANAKWENDA KUPOTEANA....CEO anazamisha jahazi, ana ujuzi wa kuendesha soka...alipachikwa na Mudihicho cheo kwa maslahi ya Mudi....
Kuna Watu Tanzania hii ni Mahayawani ( Wapumbavu ) hadi mnakera. Nimeelezea vyema tu hapo juu kuwa ni Kocha wa El Merreikh ya Sudan na tena nikasema ni jana tu ndiyo amevunja nayo Mkataba sasa nilichokosea ni wapi? Na bahati nzuri niliyemlenga ndiyo huyu huyu na kama umeona tofauti hapo ya majina lilikuwa ni jukumu lako kulihakiki ila Mimi huko nilikolitoa anaitwa kama nilivyolitaja hapo juu ila kama Yeye kaamua kuyaongezea ni hiyari yake. Pitia hata Google utakutana na Jina hilo ambalo nimeliandika japo kwingine wanalitaja hili alilotumia leo.Mbona tumetangaziwa Didier Gomes da Rosa? Ndo yupi kati ya hawa uliotaja Mkuu.View attachment 1685041
Kichwani upo sawa kweli? Mbona unaropokwa wakati mwenzio kauliza vizuri tu?Kuna Watu Tanzania hii ni Mahayawani ( Wapumbavu ) hadi mnakera. Nimeelezea vyema tu hapo juu kuwa ni Kocha wa El Merreikh ya Sudan na tena nikasema ni jana tu ndiyo amevunja nayo Mkataba sasa nilichokosea ni wapi? Na bahati nzuri niliyemlenga ndiyo huyu huyu na kama umeona tofauti hapo ya majina lilikuwa ni jukumu lako kulihakiki ila Mimi huko nilikolitoa anaitwa kama nilivyolitaja hapo juu ila kama Yeye kaamua kuyaongezea ni hiyari yake. Pitia hata Google utakutana na Jina hilo ambalo nimeliandika japo kwingine wanalitaja hili alilotumia leo.
Ungana nae tu katika Upumbavu ( Uhayawani ) wake kwani kama anaweza Ku Google angeweza Kujiridhisha zaidi kwa Majina kuliko Kunisumbua.Kichwani upo sawa kweli? Mbona unaropokwa wakati mwenzio kauliza vizuri tu?
Sasa mkuu unabisha niniUngana nae tu katika Upumbavu ( Uhayawani ) wake kwani kama anaweza Ku Google angeweza Kujiridhisha zaidi kwa Majina kuliko Kunisumbua.
Ningekuwa nimekosea na sina uhakika ningeandika hapo kuwa huyu Kocha ameachana na Klabu yake ya EL Merreikh ya Sudan jana? Idiots kabisa!!Sasa mkuu unabisha nini
Genta hujielewi weweUngana nae tu katika Upumbavu ( Uhayawani ) wake kwani kama anaweza Ku Google angeweza Kujiridhisha zaidi kwa Majina kuliko Kunisumbua.
Nadhan alilenga huyo number mbili, sababu ni hiziYote uliyotaja hayapo isipokua wamewaletea Dada Roza
Sawa Idiota MwenzanguNingekuwa nimekosea na sina uhakika ningeandika hapo kuwa huyu Kocha ameachana na Klabu yake ya EL Merreikh ya Sudan jana? Idiots kabisa!!
Tuliza kijambio hicho dada yangu uzae salamaHatimaye kocha amepatikana na anaitwa Rozi, sasa tucheze mpira
Ni hivi unaletaga kimbelembele kwenye posts za watu mwishowe unakalia.Tuliza kijambio hicho dada yangu uzae salama
Ukali wa sindano huo dada yangu nyuma uzi unaingia kiulaiiiini.Ni hivi unaletaga kimbelembele kwenye posts za watu mwishowe unakalia.